Uchaguzi смотреть последние обновления за сегодня на .
What we are today is the result of what we chose yesterday. Choose wisely! A Nifundishe Ministy Song; Uchaguzi Artist; Baraka George & Lispa Sunday Music: Joshua Charles Production: Ararat Studioz Special Thanks Ibravon: Ibravon (assistant Director) Gilliard Danstan Kasheshi Kasheshi Subscribe to Nifundishe Ministry YouTube Channel: 🤍 For Updates follow Nifundishe Ministry Instagram: 🤍 SONG LYRICS Many ye have seen and heard, You ought to choose that which is good, Choose wisdom to receive goodness, Choose a strong foundation to build on Wisely choose friends, And if they entice thee into sin, consent thou not Be objective to intended goals, Your choice this day, determine your tomorrow. Before your friends, Jesus hath put forth Life and death for you to choose, To love the Earth and the pleasures of sin, Or to love and give your service to the Lord. Jesus is rather to be chosen for he is the way of life, He giveth power to overcome sin, Choose to learn from Christ’s character, To exercise the life in Heaven. The foundation built this day, Shall confirm the house's stability to morrow Choose wisely that which is good Wisely choose friends, And if they entice thee into sin, consent thou not Choose to learn from Christ’s character, To exercise the life in Heaven.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: 🤍ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
Huku shughuli ya kuhesabu kura ikiwa inaelekea kukamilika, mashirika ya habari ya kitaifa na upinzani yote yanaripoti kwamba Rais Erdogan amepata zaidi ya asilimia 49 ya kura. Hasimu wake Kilicdaroglu amepata karibu asilimia 45. Je, Erdogan atashinda muhula mwengine iwapo uchaguzi utaingia raundi ya pili?
WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: 🤍 || 🤍 TWITTER: 🤍 || 🤍 FACEBOOK: 🤍 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm
Mamia ya raia wa Nigeria wanaishutumu tume ya uchaguzi inayoongozwa na Mahmood Yakubu, kwa udanganyifu na makosa kwenye matokeo ya uchaguzi wa urais uliofanywa mnamo 20 February 2023.
Wananchi waishio jijini Dar es salaam nchini Tanzania wamewapongeza majirani zao Wakenya kwa kuendesha uchaguzi wa huru na haki na hatimaye mshindi wa kinyang’anyiro hicho cha Urais kupatikana kwa amani. Video: Frank Mavura #bbcswahili #matokeoyauchaguzikenya2022 #kenya
WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: 🤍 || 🤍 TWITTER: 🤍 || 🤍 FACEBOOK: 🤍 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #manzokisimba #yangasc
Kundi moja hapa Kenya linapigania nchi isiwe tena na uchaguzi na badala yake kuwe na uteuzi na usaili wa wale watakaohudumu katika afisi za umma. Kundi hilo linalojitambulisha kama kenya bila uchaguzi sasa linataka bunge lipitishe mswada wa kuondoa uchaguzi mkuu kenya kwani una gharama kubwa ya hali na mali mbali na ghasia
Mamilioni ya Wakenya siku ya Jumanne walishiriki katika shughuli ya upigaji kura kuwachagua viongozi wao baada ya kampeni kali iliyotawaliwa na mijadala kuhusu gharama ya maisha, ukosefu wa ajira na ufisadi. Na katika makala hii tunaangazia jinsi kura zinavyohesabiwa baada ya wananchi kutekeleza wajibu wao wa kujitokeza na kupiga kura kulingana na maagizo na masharti ama ya Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC) au Katiba. #bbcswahili #matokeoyauchaguzi2022 #kenya
Kiongozi wa muungano wa Azimio nchini Kenya Raila Odinga amepinga matokeo ya uchaguzi uliomtangaza naibu wa rais William Ruto kuwa ndiye rais mteule. Raila amesema kwamba hakubaliani na matokeo hayo kwasababu mwenyekiti wa tume hiyo alikiuka katiba kabla ya kumtangaza mshindi. Amesema kwamba makamishna wa tume hiyo hawakukubaliana kuhusu hesabu ya mwisho ya matokeo hayo yaliompatia ushindi William Ruto. #kenya #matokeoyauchaguzikenya2022 #bbcswahili
EXCLUSIVE: RAIA WA KENYA AELEZEA HALI YA UCHAGUZI NCHINI HUMO
Mgombea wa urais kupitia Chama cha upinzani nchini Tanzania, Chadema bwana Tundu Lissu ametangaza kutokubali matokeo ya uchaguzi. Aidha amesema kuwa uchaguzi huu ulianza kuingia dosari mapema katika kuapisha mawakala ambao ndio waangalizi wa uchaguzi kwa niaba ya chama chao. Lissu amewataka watanzania kudai haki yao kwa njia ya demokrasia na sio kwa vurugu yoyote . Lissu amesema Jumuiya za kimataifa pamoja na jumuiya za kikanda ziingilie kati taarifa za matokeo ya uchaguzi wa Tanzania. #matokeoyauchaguzitanzania2020 #Tanzania #bbcswahili
Mgombea kiti cha eneo bunge la Garissa mjini kwa tiketi ya chama cha UDA Dekow Mohamed ameibuka mshindi na kuwabwaga wawaniaji wengine katika uchaguzi huo mdogo. Aidha Chege Njuguna wa chama cha UDA naye ameibuka mshindi kuwa mbunge mpya wa Kandara.
#Trending #KTNNews #livestream #ktnprime KTN News Live ~ Streaming Kenya, Africa and World news and programmes 24/7 Kenya's number one 24/7 news channel. KTN News TV keeps you updated on the latest news in Kenya and around the World. Watch Breaking and the latest news happening in Kenya, Africa and across the globe in real-time. Livestream KTN News SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: 🤍 Follow us on Twitter: 🤍 Like us on Facebook: 🤍 KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live 🤍 Watch KTN News 🤍 Follow us on 🤍 Like us on 🤍
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa Simba, Boniface Lihamwike akitoa matokeo ya uchaguzi Mkuu Simba SC Murtaza Mangungu ameshinda uchaguzi nafasi ya Mwenyekiti wa Klabu kwa kupata kura 1,311. Walioshinda nafasi ya ujumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ni; 1. Dr Seif Ramadhan Muba - kura 1636 2. Asha Baraka - kura 1564 3. CPA Issa Masoud Iddi - kura 1285 4. Rodney Chiduo - kura 1267 5. Seleman Harubu - kura 1250 Credit by 🤍fumo255
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI? 🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402), 🔘WhatsApp (+255 767 400402) 🔘Email: mwanahalisitvnews🤍gmail.com 🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: 🤍
#citizentv #elections2022 #kenyaschoice2022
Bola Tinubu achaguliwa kuwa Rais wa Nigeria, huku wapinzani wakitaka uchaguzi urudiwe #mgombea #urais #raiswanigeria #wapinzani #uchaguzi #bolatinubu #voa #voaswahili #dunianileo Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Ikiwa ni siku chache tangu shughuli ya kuhesabu kura ianze, Nigeria imeanza kutoa matokeo ya awali, kama anavyohadithia mwandishi wa #AzamTV , Abuu Yusuf. #azamtvupdates
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: 🤍ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
Kimekuwa kipindi cha kirefu cha siku sita za kungoja matokeo ya kura ya urais nchini Kenya .Tangu wapiga kura kupanga foleni Jumanne iliyopita na kuwachagua viongozi wao,matokeo ya nafasi nyingine tano yameshatolewa. Hata hivyo hamu ya wengi imekuwa ikielekezwa katika ukumbi wa Bomas ambako kura za urais zimekuwa zikijumlishwa na matokeo kutangazwa . Wakenya wajitokeza katika miji mbalimbali nchini Kenya wakisubiri matokeo. #bbcswahili #matokeoyauchaguzikenya2022 #kenya
Kesi za kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu zimekuwa kama ada kila baada ya uchaguzi mkuu. Mwaka huu, mambo hayakuwa tofauti kwani kinara wa Azimio Raila Odinga aliwasilisha kesi mahakamani kupinga ushindi wa Rais William Ruto wakati huo huku kila mmoja akiandaa wataalam wa kisheria kwa utetezi. Serfine Achieng' Ouma ameandaa makala maalum kuhusiana na sarakati, ghadhabu na mapambano ya kisheria yaliyoshuhudiwa kwenye mahakama ya upeo baada ya uchaguzi wa Agosti
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta anatarajiwa kumaliza muhula wa kukaa madarakani ifikapo Agosti 9 mwaka huu wakati Kenya itakapofanya uchaguzi mkuu na mrithi wake kupatikana. Je, Kenyatta atapokea kiasi gani cha fedha kwa ajili ya pensheni na malipo mengine ya ustaafu? Uchanganuzi huu hapa.
Kenya inatazamiwa kuendesha moja ya chaguzi ghali zaidi duniani tarehe 9 Agosti mwaka huu . Uchaguzi huo unaotarajiwa kugharimu $3 bilioni katika matumizi ya jumla unatarajiwa kuwa ghali zaidi barani Afrika kwa msingi wa gharama kwa kila mpiga kura. Matumizi ya umma na ya kibinafsi yamefikia kiwango cha juu kabisa, huku serikali na wagombea wakitumia mamia ya mamilioni ya dola kupata mchakato wa uchaguzi au kufanya kampeni ili kuchaguliwa. #bbcswahili #uchaguzikenya2022 #uchaguzi #fedha #afrika
Kila kitu kimekamilika na sasa macho yote yameelekezwa Kenya. Taifa hilo la Afrika Mashariki linapiga kura Jumanne Agosti 9 kumchagua rais mpya pamoja na wajumbe wa nyadhifa mbalimbali za uwakilishi. Kunatarajiwa mchuano mkali kati ya wagombea wawili wakuu wa urais. #Kurunzi #UchaguziKenya2022
Katika eneo bunge la Garissa mjini lililowakilishwa na Aden Duale kabla ya kuteuliwa kuwa waziri wa ulinzi.
Mgombea wa urais Raila Odinga anasema ana imani kuwa Mahakama ya Juu itakubali maombi yao akitaja ushahidi thabiti katika kesi ya kupinga kutangazwa kwa mpinzani wake William Ruto kuwa Rais mteule kufuatia uchaguzi wa Agosti 9. Bw Odinga anasema ataheshimu matokeo ya uamuzi wa mahakama. Anasema uamuzi huo unaweza kuwa na athari kubwa katika michakato ya uchaguzi kote barani Afrika. Anasema mustakabali wa demokrasia barani Afrika uko hatarini akitoa mfano wa kurudi nyuma katika baadhi ya nchi za Afrika. #bbcswahili #siasa #kenya
ARAFAT MAKAMU WA RAIS: Arafat Haji achaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Yanga baada ya kupata kura 545 dhidi ya kura 234 alizopata mpinzani wake Suma Mwaitenda. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya Yanga, Malangwe Ally Mchungahela, waliopiga kura walikuwa 785 na kura zilizoharibika zilikuwa ni sita (6). Wajumbe watano waliochaguliwa kuunda Kamati ya Utendaji kati ya 17 waliogombea ni pamoja na Alexander Ngai, Munir Said, Rodgers Gumbo, Seif Gulamali na Everlist Yanga Makaga. Na hivi ndivyo mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi Yanga Malangwe Ally Mchungahela alipoitangaza rasmi safu mpya ya uongozi akianza na wajumbe watano wa kamati ya utendaji. #HersiSaid #ArafatHaji #YangaSC #UchaguziYanga #Uchaguzi
Rais Uhuru Kenyatta anamaliza muhula wake wa mwisho madarakani huku kinyang'anyiro cha urais kikiwa kati ya naibu wake William Ruto na kinara mkuu wa upinzani Raila Odinga. Rais Uhuru anamuunga mkono mgombea wa upinzani wa miaka kumi iliyopita. Mwandishi wa BBC Emmanuel Igunza amezungumza na Bw. William Ruto #uchaguzikenya2022 #siasa #wapinzani#kenya#bbcswahili
RAIS wa Jamhuri ya Muungano amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali ikiwemo mwenyekiti wa tume ya uchaguzi (NEC) Jaji Jacob Mwambegele ambaye amechukua nafasi ya Jaji Mstaafu, Semstocles Kaijage ambaye amemaliza muda wake. RAIS SAMIA ATEUA MWENYEKITI MPYA TUME YA UCHAGUZI (NEC)... WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: 🤍 || 🤍 TWITTER: 🤍 || 🤍 FACEBOOK: 🤍 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm
Mbali na kesi iliyowasilishwa na Raila Odinga na mgombea mwenza wake Martha Karua, mbele ya mahakama ya juu zaidi, kesi zingine nane zimewasilishwa huko, nyingi kati yazo zikiwa na maombi yanayofanana. Mojawapo ni kuitaka mahakama hiyo kubatilisha kutangazwa kwa William Ruto kama rais mteule huku wawasilishaji wakimnyooshea kidole cha lawama Wafula Chebukati kwa kutofuata sheria za uchaguzi katika kutangaza ushindi huo. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: 🤍ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
NDUGAI AKIWASHA Kwenye UCHAGUZI wa CCM DODOMA, APIGIWA SHANGWE NA WAJUMBE WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: 🤍 || 🤍 TWITTER: 🤍 || 🤍 FACEBOOK: 🤍 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm
Huku Wakenya wakisubiri matokeo ya uchaguzi mkuu ulioshuhudia ushindani mkali kutoka kwa William Ruto na Raila Odinga. BBC itakuletea habari za matokeo pindi yatakapotangazwa na Tume huru ya uchaguzi na mipaka ya IEBC. #matokeoyauchaguzikenya2022 #bbcswahili #kenya
Azam TV
Kinyang'anyiro cha kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa Kenya unaotarajiwa Agosti 9, mwaka huu, kilivutia takriban wawaniaji 50 lakini ni wanne tu walioruhusiwa kugombea urais. Tazama video hii upate kuwahamu zaidi viongozi hawa wanne akiwemo Raila Odinga , William Ruto, George Wajackoyah na David Mwaure. #bbcswahili #uchaguzikenya2022 #siasa
Mgombea wa urais wa kwa tiketi ya chama cha upinzani cha CHADEMA nchini Tanzania Tundu Antipas Lissu amekosoa utaratibu wa upigaji kura nchini humo na kudai kuwa uchaguzi huo umekosa uhalali. Hata hivyo mwenyekiti wa tume ya taifa ya uchaguzi amekanusha vikali shutuma hizo. Video na Yakub Talib. Kurunzi 29.10.2020
KUELEKEA UCHAGUZI MKUU KENYA 🇰🇪 VUGUVUGU NA TAMBO ZA WAGOMBEA ZINAENDELEA. WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: 🤍 || 🤍 TWITTER: 🤍 || 🤍 FACEBOOK: 🤍 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm
Nchini Kenya raia kutoka maeneo tofauti tofauti waendelea kusherehekea. Hili linawadia baada ya Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi Kenya Wafula Chebukati kumtangaza William Ruto kuwa mshindi wa uchaguzi mkuu. William Ruto ametangazwa kuwa Rais mteule wa Kenya, na kupata asilimia 50.49 ya kura. Mshindani wake wa karibu alikuwa Raila Odinga, ambaye tume ya uchaguzi inasema amepata 48.85%. #bbcswahili #matokeoyauraiskenya2022 #kenya
Joto la Uchaguzi limeikumba Nigeria siku chache kabla ya upigaji kura.